Ndelema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ndelema ni kimoja kati ya vijiji vinavyopatikana katika kata ya Kamena, wilaya ya Geita, Mkoa wa Geita, jimbo la Busanda, Tanzania.

Kijiji cha Ndelema kinaundwa na vitongoji vya Kagera, Kagunga, Majengo mapya, Mwabalimi na Mwabuki.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata nzima ilikuwa na wakazi wapatao 21,700 waishio humo.[1] Msimbo wa posta ni 30111.

Wakazi wa kata ya Kamena ni wakulima na wafugaji; mazao makuu yanayolimwa ni pamoja na pamba, mpunga, mahindi, mihogo na viazi vitamu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.