Nkome

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nkome ni kata ya Wilaya ya Geita katika Mkoa wa Geita, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 32,726 waishio humo.[1] Msimbo wa posta ni 30119.[2]

Ndani ya kata hii kuna taasisi mbalimbali ikiwemo taasisi maarufu ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo (ing. Rubondo Island National Park). Hifadhi hii ni eeno la kisiwa kilichozungukwa na maji: ni hifadhi ambayo ndani yake kuna samaki wengi, viboko, mamba na ndege wa aina mbali mbali; pia ndani ya hifadhi hiyo kuna maua ya aina mbalimbali na bustani nzuri za asili.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya 2012, Geita Region – Geita District Council
  2. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Geita Vijijini - Mkoa wa Geita - Tanzania

Bugalama | Bugulula | Bujula | Bukoli | Bukondo | Busanda | Butobela | Butundwe | Chigunga | Isulwabutundwe | Izumacheli | Kagu | Kakubilo | Kamena | Kamhanga Kaseme | Katoma | Katoro | Lubanga | Ludete | Lwenzera | Magenge | Nkome | Nyachiluluma | Nyakagomba | Nyakamwaga | Nyalwanzaja | Nyamalimbe | Nyamboge | Nyamigota | Nyamwilolelwa | Nyarugusu | Nyaruyeye | Nyawilimilwa | Nzera | Rwamgasa | Senga


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.