Bustani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bustani ya Stourhead inapendeza hata bila maua.

Bustani ni eneo lililotengenezwa nje ya nyumba au jengo lingine kwa kupanda miti, majani na maua ili kulipendezesha na kulifurahia wakati wa kupumzika.

Pengine bustani linapandwa pia mimea kwa ajili ya mboga au matunda.

Tena kuna bustani ya wanyama ambao wanatunzwa ili watu waweze kuwaona kwa urahisi.

Bustani zilianzishwa zamani za kale.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Bustani ya Taj Mahal, India
Bustani za Versailles (Ufaransa)
Bustani ya Villa d'Este, Italia
Bustani ya Shitennō-ji, Osaka, Japan
Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bustani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.