Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Kyerwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wilaya ya Kyerwa ni wilaya mojawapo kati ya 8 za mkoa wa Kagera, Tanzania, yenye postikodi namba 35800 [1] ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012[2].

Wakati wa sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 453,654 [3].

Makao makuu ya wilaya yako Ruberwa[4].

  1. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01.
  2. http://tanzaniangovernment.blogspot.com/2013/07/rais-kikwete-azindua-wilaya-ya-kyerwa.html Ilihifadhiwa 29 Machi 2015 kwenye Wayback Machine. Rais azindua Wilaya ya Kerya
  3. https://www.nbs.go.tz
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-07-26. Iliwekwa mnamo 2015-09-13.

Kata za Wilaya ya Kyerwa - Mkoa wa Kagera - Tanzania

Bugara | Bugomora | Businde | Isingiro | Iteera | Kaisho | Kakanja | Kamuli | Kibare | Kibingo | Kikukuru | Kimuli | Kitwe | Kitwechenkura | Kyerwa | Mabira | Murongo | Nkwenda | Nyakatuntu | Nyaruzumbura | Rukuraijo | Rutunguru | Rwabwere | Songambele |