Wilaya ya Mpwapwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Mpwapwa (kijani) katika mkoa wa Dodoma.

Wilaya ya Mpwapwa ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Dodoma, Tanzania, yenye postikodi namba 41600[1] . Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Mpwapwa ilihesabiwa kuwa 305,056.

Wilaya ya Mpwapwa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-10-08.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Mpwapwa - Mkoa wa Dodoma - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Berege | Chipogoro | Chitemo | Chunyu | Galigali | Godegode | Gulwe | Ipera | Iwondo | Kibakwe | Kimagai | Kingiti | Lufu | Luhundwa | Lumuma | Lupeta | Malolo | Mang'aliza | Massa | Matomondo | Mazae | Mbuga | Mima | Mlembule | Mlunduzi | Mpwapwa Mjini | Mtera | Nghambi | Pwaga | Rudi | Ving'hawe | Wangi | Wotta


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mpwapwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.