Wilaya ya Arusha Vijijini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Halmashauri ya Arusha (kwa Kiingereza: Arusha District council) ni halmashauri mojawapo ya Mkoa wa Arusha yenye postikodi namba 23200[1]. Ilianzishwa kwa kutenga maeneo ya wilaya ya Arumeru yanayozugunguka Jiji la Arusha.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa halmashauri ya Arusha ilihesabiwa kuwa 800,198 [2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/arusha.pdf
  2. http://www.nbs.go.tz/sensa/index.html Sensa 2012