Unguja Kaskazini 'A'

Wilaya ya Kaskazini A ni wilaya moja ya Mkoa wa Unguja Kaskazini yenye postikodi namba 73100[1]. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilikuwa na jumla ya wakazi 105,780 kati ya hao Wanaume ni 51,566 na Wanawake ni 54,214. [2].
Majimbo ya bunge[hariri | hariri chanzo]
Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2012 wilaya hii ilikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:
- Chaani
- Kijini
- Mkwajuni
- Nungwi
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/ungujaKaskazini.pdf[dead link]
- ↑ Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2018-01-10.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Unguja Kaskazini 'A' kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |
![]() |
Kata za Wilaya ya Unguja Kaskazini 'A' - Mkoa wa Unguja Kaskazini - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Bandamaji | Bwereu | Chaani Kubwa | Chaani Masingini | Chutama | Fukuchani | Gamba | Kandwi | Kibeni | Kidombo | Kidoti | Kigomani | Kigunda | Kijini | Kikobweni | Kilimani | Kilindi | Kinyasini | Kisongoni | Kivunge | Matemwe | Mchenza Shauri | Mkokotoni Unguja | Mkwajuni | Moga | Mto wa Pwani | Muwange | Nungwi | Pale | Pitanazako | Potoa | Pwani Mchangani | Tazari | Tumbatu Gomani | Tumbatu Jongowe | Uvivini |