Kiteto

Wilaya ya Kiteto ni wilaya moja ya Mkoa wa Manyara. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Kiteto ilihesabiwa kuwa 244,669 waishio humo. [1] . Idadi imeongezeka hivi kutoka 152,757 wakati wa sensa ya 2002.[2].
Kiteto imepakana na wilaya ya Simanjiro upande wa kaskazini, upanda wa mashariki na mkoa wa Tanga na upande wa kusini na magharibi na mkoa wa Dodoma.
Makao makuu ya wilaya yako mjini Kibaya.
Wenyeji ni hasa Wamasai.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Sensa ya 2012, Manyara Region – Kiteto District-Council
- ↑ Tanzania.go.tz/census/districts/kiteto. Jalada kutoka ya awali juu ya 2003-12-17. Iliwekwa mnamo 2003-12-17.
![]() |
Kata za Wilaya ya Kiteto - Mkoa wa Manyara - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Bwawani | Bwagamoyo | Chapakazi | Dongo | Dosidosi | Engusero | Kaloleni | Kibaya | Kijungu | Laiseri | Lengatei | Loolera | Magungu | Makame | Matui | Namelock | Ndedo | Ndirigishi | Njoro | Olboloti | Partimbo | Songambele | Sunya |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kiteto kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|