Wilaya ya Mlele
Jump to navigation
Jump to search
Wilaya ya Mlele | |
Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Tanzania" does not exist.Mahali pa Mlele katika Tanzania |
|
Majiranukta: 6°43′23″S 32°3′29″E / 6.72306°S 32.05806°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Mkoa wa Katavi |
Wilaya | Mlele |
Idadi ya wakazi | |
- | 282,568 |
Mlele ni jina la wilaya mpya katika mkoa mpya wa Katavi, ambavyo vyote vilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012.
Maeneo yake yalikuwa sehemu ya wilaya ya Mpanda.
Makao makuu ya wilaya yako Inyonga.
Wakati wa sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi ilikuwa watu 282,568. [1]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Kata za Wilaya ya Mlele - Mkoa wa Katavi - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Ikuba * Ilela * Ilunde * Inyonga * Itenka * Kapalala * Kasansa * Kasokola * Kibaoni * Litapunga * Machimboni * Magamba * Majimoto * Mamba * Mbede * Mtapenda * Mwamapuli * Nsenkwa * Nsimbo * Sitalike * Ugala * Urwila * Usevya * Utende |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Katavi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |