Wilaya ya Itilima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa matumizi tofauti ya jina hilo angalia Itilima (Kishapu)


Itilima ni jina la wilaya mpya ya Tanzania katika mkoa mpya wa Simiyu, ambavyo vyote vilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012.

Itilima ni wilaya iliyojaa karibia 99% wakiwa Wasukuma waitwao wanyantuzu, kilimo chao kikuu hasa ni mahindi, pamba, n.k.

Katika siasa UDP na CCM ndio vyama vinavyokubalika sana na hasa UDP kwa bwana mapesa aka Cheyo momose ndo eneo kubwa jimbo lake limechukuliwa na hii wilaya.

Pia wilaya hii ina historia ya upinzani wa kisiasa pia na miano.

Makao makuu ya wilaya yako Lagangabilili.

Kata za Wilaya ya Itilima - Mkoa wa Simiyu - Tanzania

Budalabujiga | Bugera | Chinamili | Ikindilo | Kinang'weli | Lagangabilili | Lugulu | Mbita | Mhunze | Migato | Mwalushu | Mwamapalala | Mwamtani | Mwaswale | Ndolelezi | Nhobora | Nkoma | Nkuyu | Nyamalapa | Sagata | Sawida | Zagayu


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Simiyu bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.