Simanjiro
Wilaya ya Simajiro ni wilaya mojawapo kati ya 7 za Mkoa wa Manyara.
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Simanjiro ilihesabiwa kuwa 178,693 waishio humo. [1] Katika sensa ya mwaka 2022 wazazi walihesabiwa 291,169 [2].
Simanjiro imepakana na mkoa wa Arusha upande wa kaskazini, mkoa wa Kilimanjaro upande wa kaskazini-mashariki, mkoa wa Tanga upande wa kusini-mashariki, wilaya ya Kiteto upande wa kusini, mkoa wa Dodoma upande wa kusini-magharibi na wilaya ya Babati kwenye magharibi.
Makao makuu ya wilaya yapo Orkesumet.
Wenyeji ni hasa Wamasai na ufugaji ni kazi yao hasa. Katika Mererani watu huchimba vito vya tanzanaiti.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Miradi ya ufugaji Simanjiro Ilihifadhiwa 20 Novemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- District Hospital planned for Simanjiro (The Citizen 17-02-2014, imeangaliwa X-2015) Ilihifadhiwa 4 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
Kata za Wilaya ya Simanjiro - Mkoa wa Manyara - Tanzania | ||
---|---|---|
Emboreet | Endiamutu | Endonyongijape | Kitwai | Komolo | Langai | Loiborsoit | Loiborsiret | Mirerani | Msitu wa Tembo | Naberera | Naisinyai | Ngorika | Oljoro No.5 | Orkesumet | Ruvu Remit | Shambarai | Terrat |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Simanjiro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|