Komolo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Komolo ni kata ya Wilaya ya Simanjiro katika Mkoa wa Manyara, Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 23,665 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11,555 waishio humo.[2]

Mwenyekiti wa kwanza wa kijiji hicho alijulikana kama mzee Abdallah Said. Mzee huyu wa Kizigua ndiye Mswahili wa kwanza katika kijiji hicho.

Komolo imebarikiwa ardhi kubwa ya kilimo pamoja na upatikaji wa madini mbalimbali. Mazao makuu ni ngwara, maharagwe, mahindi, choroko na mengine, lakini wananchi wa Komolo wanajishughulisha pia na uchimbaji mdogo wa madini.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Simanjiro - Mkoa wa Manyara - Tanzania

Emboreet | Endiamutu | Endonyongijape | Kitwai | Komolo | Langai | Loiborsoit | Loiborsiret | Mirerani | Msitu wa Tembo | Naberera | Naisinyai | Ngorika | Oljoro No.5 | Orkesumet | Ruvu Remit | Shambarai | Terrat


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Komolo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.