Wilaya ya Uvinza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Uvinza ni jina la wilaya mpya katika mkoa wa Kigoma, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012 yenye postikodi namba 47600[1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, wilaya ilikuwa na wakazi wapatao 383,640 waishio humo.[2]

Maeneo ya Uvinza yalitengwa na wilaya ya Kigoma Vijijini.

Makao makuu ya wilaya yameanishwa Lugufu,[3] iliko takriban 30 km upande wa mashariki-kaskazini kutoka Uvinza.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/kigoma.pdf
  2. Sensa ya 2012, Kigoma Region - Uvinza District Council
  3. http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=36298 Upingamizi dhidi ya matumizi ya ardhi Lugufu
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Uvinza - Mkoa wa Kigoma - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Buhingu | Igalula | Ilagala | Itebula | Kalya | Kandaga | Kazuramimba | Mganza | Mtego wa Noti | Nguruka | Sigunga | Simbo | Sunuka | Uvinza

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kigoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Uvinza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.