Wilaya ya Kilombero

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Kilombero katika mkoa wa Morogoro.
Kilimo katika Wilaya ya Kilombero.

Wilaya ya Kilombero ni wilaya moja ya Mkoa wa Morogoro, Tanzania yenye Postikodi namba 67500. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 407,880.[1]

Makao makuu ya wilaya hiyo ni mji wa Ifakara, mji maarufu kwa utafiti wa ugonjwa wa malaria.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tanzania.go.tz/census. Jalada kutoka ya awali juu ya 2003-12-17. Iliwekwa mnamo 2003-12-17.

Viungo ya nje[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Kilombero - Mkoa wa Morogoro - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Ching'anda | Chisano | Chita | Idete | Ifakara | Igima | Kalengakelo | Kamwene | Katindiuka | Kibaoni | Kiberege | Kidatu | Kisawasawa | Lipangalala | Lumemo | Mang’ula 'B' | Mang'ula | Masagati | Mbasa | Mbingu | Mchombe | Michenga | Mkula | Mlabani | Mlimba | Mngeta | Mofu | Msolwa Station | Mwaya | Namwawala | Sanje | Signal | Utengule (Kilombero) | Viwanja Sitini


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kilombero kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.