Wilaya ya Mlimba
Mandhari
Wilaya ya Mlimba ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Morogoro, Tanzania yenye Postikodi namba 67500.
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 407,880.[1] Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 292,536 tu, kutokana na uanzishwaji wa wilaya ya Ifakara Mjini, yalipokuwa makao makuu ya wilaya ya Kilombero [2].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Tanzania.go.tz/census". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-17. Iliwekwa mnamo 2003-12-17.
- ↑ https://www.nbs.go.tz
Viungo ya nje
[hariri | hariri chanzo]- Jiografia ya bonde la Kilombero Ilihifadhiwa 23 Januari 2010 kwenye Wayback Machine.
Kata za Wilaya ya Mlimba - Mkoa wa Morogoro - Tanzania | ||
---|---|---|
Ching'anda | Chisano | Chita | Idete | Igima | Kalengakelu | Kamwene | Masagati | Mbingu | Mchombe | Mlimba | Mngeta | Mofu | Namwawala | Uchindile | Utengule
|
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mlimba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |