Mbeya Vijijini
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Mbeya Vijijini)

Wilaya Mbeya Vijijini ni wilaya moja ya Mkoa wa Mbeya. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 254,897 [1]. Wakazi wengi zaidi wa wilaya hii ni Wasafwa na Wamalila.
Utawala[hariri | hariri chanzo]
Katika wilaya hii kuna kata zifuatazo:
![]() |
Kata za Wilaya ya Mbeya Vijijini – Mkoa wa Mbeya - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Bonde la Usongwe | Igale | Igoma | Ihango | Ijombe | Ikukwa | Ilembo (Mbeya vijijini) | Ilungu | Inyala | Isuto | Itawa | Itewe | Iwiji | Iwindi | Iyunga Mapinduzi | Izyira | Lwanjiro | Maendeleo | Mjele | Masoko | Mshewe | Nsalala | Santilya | Shizuvi | Swaya | Tembela | Ulenje | Utengule Usongwe |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mbeya Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |