Mikoa ya Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Ramani ya mikoa ya Japani

Mikoa ya Japani ni ngazi ya kiutawala chini ya ngazi ya taifa. Japani imegawiwa katika mikoa 47.

Mikoa mitatu ni miji ya Tokyo, Osaka na Kyoto.

Kisiwa cha Hokkaida ni mkoa mmoja tu.

Visiwa vingine vimegawiwa kwa mikoa 43 vingine.

Mikoa vimegawiwa ndani yao katika wilaya. Miji mikubwa zaidi iko chini ya mmkoa moja kwa moja. Wananchi huchagua bunge la mkoa linalosimamia shughuli zinazoamuliwa kwenye ngazi yake na kumchagua Mkuu wa Mkoa.


Orodha ya mikoa[hariri | hariri chanzo]

Nembo Mkoa Kijapani Makao makuu Kanda Kisiwa Wakazi

~2000

Eneo (km²) Wakazi
/km²
Wilaya Miji ISO
Symbol of Aichi Prefecture.svg Mkoa wa Aichi 愛知県 Nagoya Chūbu Honshū 7,043,235 5,153.81 1,366 15 88 JP-23
PrefSymbol-Akita.png Mkoa wa Akita 秋田県 Akita Tōhoku Honshū 1,189,215 11,612.11 102 8 29 JP-05
Emblem of Aomori Prefecture.svg Mkoa wa Aomori 青森県 Aomori Tōhoku Honshū 1,475,635 9,606.26 154 8 61 JP-02
Emblem of Chiba prefecture.svg Mkoa wa Chiba 千葉県 Chiba Kantō Honshū 5,926,349 5,156.15 1,149 9 80 JP-12
Symbol of Ehime prefecture.png Mkoa wa Ehime 愛媛県 Matsuyama Shikoku Shikoku 1,493,126 5,676.44 263 7 28 JP-38
Emblem of Fukui prefecture.svg Mkoa wa Fukui 福井県 Fukui Chūbu Honshū 828,960 4,188.76 198 10 29 JP-18
PrefSymbol-Fukuoka.png Mkoa wa Fukuoka 福岡県 Fukuoka Kyūshū Kyūshū 5,015,666 4,971.01 1,009 17 91 JP-40
PrefSymbol-Fukushima.png Mkoa wa Fukushima 福島県 Fukushima Tōhoku Honshū 2,126,998 13,782.54 154 14 85 JP-07
Emblem of Gifu Prefecture.svg Mkoa wa Gifu 岐阜県 Gifu Chūbu Honshū 2,107,687 10,598.18 199 11 49 JP-21
Symbol of Gunma prefecture.png Mkoa wa Gunma 群馬県 Maebashi Kantō Honshū 2,024,820 6,363.16 318 12 61 JP-10
PrefSymbol-Hiroshima.png Mkoa wa Hiroshima 広島県 Hiroshima Chūgoku Honshū 2,878,949 8,476.95 340 10 37 JP-34
PrefSymbol-Hokkaido.png Mkoa wa Hokkaidō 北海道 Sapporo Hokkaidō Hokkaidō 5,682,950 83,452.47 68 66 207 JP-01
PrefSymbol-Hyogo.png Mkoa wa Hyogo 兵庫県 Kobe Kansai Honshū 5,550,742 8,392.42 661 13 60 JP-28
Mkoa wa Ibaraki 茨城県 Mito Kantō Honshū 2,985,424 6,095.62 490 13 61 JP-08
PrefSymbol-Ishikawa.png Mkoa wa Ishikawa 石川県 Kanazawa Chūbu Honshū 1,180,935 4,185.32 282 7 25 JP-17
PrefSymbol-Iwate.png Mkoa wa Iwate 岩手県 Morioka Tōhoku Honshū 1,416,198 15,278.51 93 12 46 JP-03
Mkoa wa Kagawa 香川県 Takamatsu Shikoku Shikoku 1,022,843 1,861.70 549 5 17 JP-37
PrefSymbol-Kagoshima.png Mkoa wa Kagoshima 鹿児島県 Kagoshima Kyūshū Kyūshū 1,786,214 9,132.42 196 11 49 JP-46
Symbol of Kanagawa Prefecture.svg Mkoa wa Kanagawa 神奈川県 Yokohama Kantō Honshū 8,489,932 2,415.42 3,515 7 35 JP-14
Emblem of Kochi Prefecture.svg Mkoa wa Kochi 高知県 Kochi Shikoku Shikoku 813,980 7,104.70 115 6 35 JP-39
PrefSymbol-Kumamoto.png Mkoa wa Kumamoto 熊本県 Kumamoto Kyūshū Kyūshū 1,859,451 6,908.45 269 10 48 JP-43
Mkoa wa Kyoto 京都府 Kyoto Kansai Honshū 2,644,331 4,612.93 573 6 28 JP-26
PrefSymbol-Mie.svg Mkoa wa Mie 三重県 Tsu Kansai Honshū 1,857,365 5760.72 322 7 29 JP-24
PrefSymbol-Miyagi.png Mkoa wa Miyagi 宮城県 Sendai Tōhoku Honshū 2,365,204 6,861.51 325 10 36 JP-04
Symbol of Miyazaki prefecture.png Mkoa wa Miyazaki 宮崎県 Miyazaki Kyūshū Kyūshū 1,170,023 6,684.67 175 8 44 JP-45
Emblem of Nagano Prefecture.svg Mkoa wa Nagano 長野県 Nagano Chūbu Honshū 2,214,409 12,598.48 163 16 120 JP-20
PrefSymbol-Nagasaki.png Mkoa wa Nagasaki 長崎県 Nagasaki Kyūshū Kyūshū 1,516,536 4,092.80 371 9 79 JP-42
Symbol of Nara Prefecture.svg Mkoa wa Nara 奈良県 Nara Kansai Honshū 1,442,862 3,691.09 391 8 47 JP-29
PrefSymbol-Niigata.png Mkoa wa Niigata 新潟県 Niigata Chūbu Honshū 2,475,724 12,582.37 197 16 111 JP-15
Symbol of Oita prefecture.png Mkoa wa Ōita 大分県 Ōita Kyūshū Kyūshū 1,221,128 5,804.24 210 12 58 JP-44
PrefSymbol-Okayama.png Mkoa wa Okayama 岡山県 Okayama Chūgoku Honshū 1,950,656 7,008.63 278 18 78 JP-33
Flag of Okinawa Prefecture.svg Mkoa wa Okinawa 沖縄県 Naha Kyūshū Ryūkyū
Islands
1,318,281 2,271.30 580 5 41 JP-47
PrefSymbol-Osaka.png Mkoa wa Osaka 大阪府 Osaka Kansai Honshū 8,804,806 1,893.18 4,652 5 44 JP-27
Emblem of Saga prefecture.png Mkoa wa Saga 佐賀県 Saga Kyūshū Kyūshū 876,664 2,439.23 359 8 49 JP-41
PrefSymbol-Saitama.png Mkoa wa Saitama 埼玉県 Saitama Kantō Honshū 6,938,004 3,767.09 1,827 9 90 JP-11
Emblem of Shiga prefecture.svg Mkoa wa Shiga 滋賀県 Otsu Kansai Honshū 1,342,811 4,017.36 334 11 50 JP-25
PrefSymbol-Shimane.png Mkoa wa Shimane 島根県 Matsue Chūgoku Honshū 761,499 6,707.32 114 12 59 JP-32
PrefSymbol-Shizuoka.png Mkoa wa Shizuoka 静岡県 Shizuoka Chūbu Honshū 3,767,427 7,328.61 484 12 74 JP-22
PrefSymbol-Tochigi.png Mkoa wa Tochigi 栃木県 Utsunomiya Kantō Honshū 2,004,787 6,408.28 313 7 33 JP-09
PrefSymbol-Tokushima.png Mkoa wa Tokushima 徳島県 Tokushima Shikoku Shikoku 823,997 4,145.26 199 10 50 JP-36
PrefSymbol-Tokyo.svg Tokyo 東京都 Shinjuku Kantō Honshū 12,059,237 2,187.08 5,514 1 39 JP-13
PrefSymbol-Tottori.png Mkoa wa Tottori 鳥取県 Tottori Chūgoku Honshū 613,229 3,507.19 175 6 39 JP-31
Mkoa wa Toyama 富山県 Toyama Chūbu Honshū 1,120,843 4,247.22 264 6 27 JP-16
Symbol of Wakayama Prefecture.svg Mkoa wa Wakayama 和歌山県 Wakayama Kansai Honshū 1,069,839 4,725.55 226 7 50 JP-30
Symbol of Yamagata Prefecture.svg Mkoa wa Yamagata 山形県 Yamagata Tōhoku Honshū 1,244,040 9,323.34 133 9 44 JP-06
PrefSymbol-Yamaguchi.png Mkoa wa Yamaguchi 山口県 Yamaguchi Chūgoku Honshū 1,528,107 6,110.76 250 11 56 JP-35
Emblem of Yamanashi prefecture.png Mkoa wa Yamanashi 山梨県 Kofu Chūbu Honshū 888,170 4,465.37 199 8 64 JP-19

Notes: ¹ as of 2000 — ² km² — ³ per km²

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]