Mito, Ibaraki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mji wa Mito
Mito
Bendera ya Mito
Bendera
Nchi Japani
Kanda Kantō
Mkoa Ibaraki
Idadi ya wakazi
 - 264 570
Tovuti: www.city.mito.lg.jp
Flag of Mito, Ibaraki.png

Mito (水戸市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Ibaraki. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 265,000 wanaoishi katika mji huu.

Japangeo.png Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mito, Ibaraki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.