Otsu, Shiga
Mandhari

Otsu | |
Nchi | Japani |
---|---|
Kanda | Kansai |
Mkoa | Shiga |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 332 211 |
Tovuti: www.city.otsu.shiga.jp |

Otsu (大津市) ni mji wa Japani. Mji ndiyo mji mkuu katika Mkoa wa Shiga. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 330 000 wanaoishi katika mji huu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 22 Juni 2000 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Otsu, Shiga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |