Matsuyama, Ehime

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Matsuyama
Matsuyama
Faili:Flag of .png
Bendera
Nchi Japani
Mkoa Ehime
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 515 010
Tovuti:  www.city.matsuyama.ehime.jp
Faili:Matuyama-sym.gif

Matsuyama (松山市,) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Ehime. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 515,000 wanaoishi katika mji huu.

Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Matsuyama, Ehime kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.