Maebashi, Gunma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mji wa Maebashi
Maebashi
Bendera ya Maebashi
Bendera
Nchi Japani
Kanda Kantō
Mkoa Gunma
Idadi ya wakazi
 - 338 799
Tovuti: www.city.maebashi.gunma.jp

Maebashi (前橋市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Gunma. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 340,000 wanaoishi katika mji huu.

Japangeo.png Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Maebashi, Gunma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.