Nenda kwa yaliyomo

Gifu, Gifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Gifu
Mkoa wa Gifu
Gifu
Faili:Flag of .png
Bendera
Nchi Japani
Kanda Chūbu
Mkoa Gifu
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 422 061
Tovuti:  www.city.gifu.lg.jp

Gifu (岐阜市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Gifu. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 420,000 wanaoishi katika mji huu.

Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gifu, Gifu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.