Naha, Okinawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru








Naha
Bendera ya Naha
Bendera
Nchi Japani
Kanda Visiwa vya Ryūkyū
Mkoa Okinawa
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 314,261
Tovuti:  www.city.naha.okinawa.jp
Mji wa Naha
Flag of Naha, Okinawa.svg

Naha (那覇市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Okinawa. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 315 000 wanaoishi katika mji huu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Japangeo.png Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Naha, Okinawa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.