Ulanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Ulanga)

Kwa matumizi tofauti ya jina hili tazama Ulanga (madini)

Mahali pa Ulanga katika mkoa wa Morogoro kabla ya kumegwa ili kuanzisha Wilaya ya Malinyi.

Wilaya ya Ulanga ni wilaya moja ya Mkoa wa Morogoro,Tanzania yenye Postikodi namba 676. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 194,209 walioongezeka kuwa 265,203 wakati wa sensa ya 2012.[1]

Makao makuu ya wilaya yapo Mahenge Mjini.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya 2012, Morogoro - Ulanga DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-06-04.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Ulanga - Mkoa wa Morogoro - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Chirombola | Euga | Ilonga | Iragua | Isongo | Ketaketa | Kichangani | Lukande | Lupiro | Mahenge (mji) | Mawasiliano | Mbuga | Milola | Minepa | Msogezi | Mwaya | Nawenge | Ruaha | Sali | Uponera | Vigoi


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ulanga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.