Wilaya ya Kwimba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Kwimba (kijani cheusi) katika mkoa wa Mwanza kabla haujamegwa.

Wilaya ya Kwimba ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Mwanza.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 406,509 waishio humo [1] na katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 480,025 [2].

Misimbo ya posta katika wilaya hii inaanza kwa tarakimu za 338.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Kwimba - Mkoa wa Mwanza - Tanzania

Bugando | Bungulwa | Bupamwa | Fukalo | Hungumalwa | Igongwa | Ilula | Iseni | Kikubiji | Lyoma | Maligisu | Malya | Mantare | Mhande | Mwabomba | Mwagi | Mwakilyambiti | Mwamala | Mwandu | Mwang'halanga | Mwankulwe | Ng'hundi | Ngudu | Ngulla | Nkalalo | Nyambiti | Nyamilama | Shilembo | Sumve | Walla


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kwimba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.