Nenda kwa yaliyomo

Nyambiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nyambiti ni kata ya Wilaya ya Kwimba katika Mkoa wa Mwanza, Tanzania. Msimbo wa posta ni 33810.

Sehemu ya vijiji vinavyounda kata ya Nyambiti ni Kinoja, Solwe, Goloma, Mwamajila na mji mdogo Nyambiti.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 16,730 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 13,731 waishio humo.[2]

Jina Nyambiti linatokana na neno la Kisukuma 'Mbiti' yaani Fisi. Hata hivyo hakuna ushahidi wa moja kwa moja kama eneo hilo liliwahi kuwa makazi ya fisi kiasi cha kupelekea kuitwa Nyambiti.

Kata za Wilaya ya Kwimba - Mkoa wa Mwanza - Tanzania

Bugando | Bungulwa | Bupamwa | Fukalo | Hungumalwa | Igongwa | Ilula | Iseni | Kikubiji | Lyoma | Maligisu | Malya | Mantare | Mhande | Mwabomba | Mwagi | Mwakilyambiti | Mwamala | Mwandu | Mwang'halanga | Mwankulwe | Ng'hundi | Ngudu | Ngulla | Nkalalo | Nyambiti | Nyamilama | Shilembo | Sumve | Walla


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nyambiti kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.