Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Nyambiti

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

MJI MDOGO WA NYAMBITI

[hariri chanzo]

Nyambiti ni mji mdogo unaopatikana katika wilaya ya kwimba.Mji huu ni miongoni mwa miji midogo muhimu hasa kibiashara ndani ya wilaya ya kwimba.Mitaa inayojenga mji huu ni Bugatu,Songambele, Mjini,Kibala na Tallo. Mji huu unazungukwa na vijiji jirani vya Goloma,kinoja,Mwamajira,Nkalalo na ibindo. Wakazi wa eneo hili wengi ni kutoka kabila la wasukuma,hata hivyo kutokana na kasi kubwa ya kiuchumi na na kuenea kwa huduma za kijamii kama shule, hospitali,nk watu kutoka sehemu mbalimbali za nchi wamekuwa wakihamishia makazi yao katika mji huu mdogo kwa sababu za kikazi ama kibiashara.Makabila mengine yapatikanayo hapa ni Wakerewe,Wajita,Wahaya nk. kazi kuu za kiuchumi katika m