Kisukuma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisukuma ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wasukuma. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisukuma imehesabiwa kuwa watu 5,430,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisukuma iko katika kundi la F20. Inafanana na lugha ya Kinyamwezi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Batibo, Herman. 1985. Le kesukuma (langue bantou de Tanzanie): phonologie, morphologie. (Éditions recherche sur les civilisations, cahier no 17.) Paris: Centre de Recherches, d’Echanges et de Documentation Universitaire (CREDU). Kurasa 340. [ISBN 2-86538-126-0]
  • Richardson, Irvine. 1966. A vocabulary of Sukúma [kuhaririwa na Michael Mann]. African language studies, 7, uk.1-79.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisukuma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.