Wilaya ya Magu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wilaya ya Magu ni wilaya moja ya Mkoa wa Mwanza. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 299,759 waishio humo. [1] Makao makuu ya wilaya yako Magu Mjini.

Misimbo ya posta katika wilaya hii inaanza kwa tarakimu 334.


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Magu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Magu - Mkoa wa Mwanza - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bujashi | Bukwe | Jinjimili | Kahangara | Kisesa | Kitongo Sima | Kongolo | Lubugu | Lutale | Magu Mjini | Mwamabanza | Mwamanga | Ng'haya | Nkungulu | Nyanguge | Nyigogo | Shishani | Sukuma

  1. Sensa ya 2012, Mwanza Region - Magu District Council