Bujora

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Bujora ni hifadhi ya utamaduni wa kabila la Wasukuma iliyopo katika mkoa wa Mwanza nchini Tanzania.

Hifadhi hii ilianzishwa miaka ya 1950 na Padri David Clement kutoka nchini Kanada wa shirika la Wamisionari wa Afrika (White Fathers).

Malengo yake yalikuwa kuunganisha utamaduni wa Kisukuma na Ukristo, maarufu kama utamadunisho (kwa Kiingereza "inculturation") .[1][2]

marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bujora kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.