Makumbusho ya Wasukuma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kabila la Wasukuma hutumia Pembe ya Ng'ombe katika ngoma zao

Makumbusho ya Wasukuma ni makumbusho ya kijamii yanayopatikana Bujora, kijiji cha mkoa wa Mwanza nchini Tanzania.[1]

Makumbusho hayo yalianzishwa rasmi mwaka 1968[2] kwa ajili ya kuendeleza na kutunza utamaduni na mila za kabila la Wasukuma [3]

Msingi wa hifadhi ya Bujora uliwekwa katika miaka ya 1950 na Padri David Clement wa shirika la Wamisionari wa Afrika (White Fathers) kutoka nchini Kanada. Malengo yake yalikuwa kuunganisha utamaduni wa Kisukuma na Ukristo, maarufu kama utamadunisho (kwa Kiingereza "inculturation").[4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Wasukuma kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.