Wilaya ya Butiama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Butiama ni jina la wilaya mpya katika mkoa wa Mara, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012.

Makao makuu ya wilaya yako Butiama.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 241,732 waishio humo.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Butiama - Mkoa wa Mara - Tanzania
Flag of Tanzania.svg

Bisumwa | Buhemba | Bukabwa | Buruma | Busegwe | Buswahili | Butiama | Butuguri | Bwiregi | Etaro | Kukirango | Kyanyari | Masaba | Mirwa | Muriaza | Nyamimange | Nyankanga | Nyegina | Sirorisimba


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Butiama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno.