Wilaya ya Bahi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wilaya ya Bahi ni moja ni wilaya moja ya Mkoa wa Dodoma, Tanzania yenye postikodi namba 413[1] . Makao ya halmashauri ya wilaya yapo Bahi mjini. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Bahi ilihesabiwa kuwa 221,645 [2]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-10-08.
  2. http://www.nbs.go.tz/sensa/popu2.php Archived 13 Aprili 2014 at the Wayback Machine. DODOMA REGION, BAHI DISTRICT/COUNCIL POPULATION
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Bahi - Mkoa wa Dodoma - Tanzania
Flag of Tanzania.svg

Babayu | Bahi | Chali | Chibelela | Chikola | Chipanga | Ibihwa | Ibugule | Ilindi | Kigwe | Lamati | Makanda | Mpalanga | Mpamantwa | Msisi | Mtitaa | Mundemu | Mwitikila | Nondwa | Zanka