Wilaya ya Babati Vijijini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wilaya ya Babati Vijijini ni wilaya mojawapo katika Mkoa wa Manyara, Tanzania yenye postikodi namba 27200[1] . Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, wilaya hii ilikuwa na wakazi wapatao 312,392 waishio humo.[2]

Eneo la mji wa Babati limepewa halmashauri yake ya pekee na hivyo kuwa wilaya ya pekee.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Babati Vijijini - Mkoa wa Manyara - Tanzania

Arri | Ayalagaya | Ayasanda | Bashnet | Boay | Dabil | Dareda | Duru | Endakiso | Gallapo | Gidas | Kiru | Kisangaji | Madunga | Magara | Magugu | Mamire | Mwada | Nar | Nkaiti | Qameyu | Qash | Riroda | Secheda | Ufana


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Babati Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno.