Mwada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mwada ni kata ya Wilaya ya Babati Vijijini katika Mkoa wa Manyara, Tanzania yenye postikodi namba 27202[1].

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 16,139 waishio humo.[2]

Wakazi wa Mwada kiuchumi wanajihughulisha na masuala ya kilimo cha mazao mbalimbali kama pamba, ufuta, mahindi, ngwara, maharagwe, alizeti na mbaazi, pamoja na uvuvi mdogo katika ziwa Burunge, lakini pia kuna hifadhi ya Burunge ambayo imepakana na hifadhi ya Taifa ya Tarangire. Hivyo utalii pia ni sehemu mojawapo ya shughuli za kiuchumi katika eneo hilo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Babati Vijijini - Mkoa wa Manyara - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Arri | Ayasanda | Baoy | Bashnet | Dabil | Dareda | Duru | Endakiso | Gallapo | Gidas | Kiru | Madunga | Magara | Magugu | Mamire | Mwada | Nar | Nkaiti | Qash | Riroda | Ufana


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mwada kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno.