Wilaya ya Kibaha Vijijini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mahali pa Kibaha (kijani) katika mkoa wa Pwani.

Wilaya ya Kibaha Vijijini ni wilaya katika Mkoa wa Pwani nchini Tanzania yenye postikodi namba 61200 [1]. Ilikuwa sehemu ya Wilaya ya Kibaha ya awali. Mwaka 2012 wilaya hii iligawiwa kuwa wilaya mbili za pekee, Kibaha Vijijini pamoja na ile ya Kibaha Mjini.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya ya Kibaha Vijijini ilihesabiwa kuwa 70,209 [2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Kibaha Vijijini - Mkoa wa Pwani - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bokomnemela | Dutumi | Gwata | Janga | Kikongo (Kibaha) | Kilangalanga | Kwala | Magindu | Mlandizi | Mtambani | Mtambani | Mtongani | Ruvu | Soga


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kibaha Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.