Kwala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kwala ni kata ya Wilaya ya Kibaha Vijijini katika Mkoa wa Pwani, Tanzania yenye postikodi namba 61208 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 3,472 [2] walioishi humo.

Kata hiyo inapitiwa na njia ya reli ya SGR. Kituo kikubwa cha kupanga mabehewa kipo hapa Kwala; mabehewa huunganishwa hapa kuwa treni ya mizigo ya kuelekea shabaha fulani.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/pwani.pdf[dead link]
  2. Sensa ya 2012, Pwani - Kibaha DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-06-10.
  3. https://dailynews.co.tz/news/2021-09-286152c87eef89a.aspxTanzania: Locals Praise Foreign Experts Training Them at SGR Project, gazeti la Daily News ya 28.09.2021
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Kibaha Vijijini - Mkoa wa Pwani - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bokomnemela | Dutumi | Gwata | Janga | Kikongo (Kibaha) | Kilangalanga | Kwala | Magindu | Mlandizi | Mtambani | Mtambani | Mtongani | Ruvu | Soga


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kwala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.