Wilaya ya Misungwi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mahali pa Misungwi (kijani) katika mkoa wa Mwanza.

Wilaya ya Misungwi ni wilaya moja ya Mkoa wa Mwanza. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 351,607 waishio humo. [1]

Misimbo ya posta katika wilaya hii inaanza kwa tarakimu za 335.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Misungwi - Mkoa wa Mwanza - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Buhingo | Bulemeji | Busongo | Fella | Gulumungu | Idetemya | Igokelo | Ilalambogo | Ilujamate | Isesa | Kanyelele | Kasololo | Kijima | Koromije | Lubili | Mabuki | Mamaye | Mbarika | Misasi | Misungwi | Mondo | Mwaniko | Nhundulu | Shilalo | Sumbugu | Ukiriguru | Usagara


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Misungwi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.