Kanyelele
Mandhari
Kanyelele ni kata ya Wilaya ya Misungwi katika Mkoa wa Mwanza, Tanzania. Msimbo wa posta ni 33516.
Kata hiyi ina vijiji vitano, ambavyo ni Kanyelele, Mwaholo, Mwakalima, [1] Gambajiga na Budutu. Pia kata ya Kanyelele ina jumla ya vitongoji 34, vinanavyopatikana katika vijiji vyote vitano.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 17,415 [2]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 14,371 waishio humo.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ofisi ya mtendaji Kata ya Kanyelele
- ↑ https://www.nbs.go.tz, uk 187
- ↑ Sensa ya 2012, Mwanza Region - Misungwi District Council
| Kata za Wilaya ya Misungwi - Mkoa wa Mwanza - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Buhingo | Buhunda | Bulemeji | Busongo | Fella | Gulumungu | Idetemya | Igokelo | Ilujamate | Isenengeja | Kanyelele | Kasololo | Kijima | Koromije | Lubili | Mabuki | Mamaye | Mbarika | Misasi | Misungwi | Mondo | Mwaniko | Nhundulu | Shilalo | Sumbugu | Ukiriguru | Usagara | ||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kanyelele kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |