Wilaya ya Kahama Vijijini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wilaya ya Kahama Vijijini ilikuwa wilaya ya Mkoa wa Shinyanga. Ilianzishwa baada ya kugawa Wilaya ya Kahama ya awali.

Wakati wa sensa ya 2012 wilaya ilikuwa na wakazi 334,417. [1]

Tarehe 23 Novemba 2012 iligawanywa katika Wilaya ya Msalala na Wilaya ya Ushetu.

Kata zake zilikuwa:

Bugarama | Bukomela | Bulige | Bulungwa | Bulyanhulu | Busangi | Chambo | Chela | Chona | Idahina | Igunda | Igwamanoni | Isaka | Jana | Kashishi | Kinamapula | Kisuke | Lunguya | Mapamba | Mega | Mpunze | Mwalugulu | Mwanase | Ngaya | Ntobo | Nyankende | Sabasabini | Segese | Shilela | Ubagwe | Ukune | Ulewe | Ulowa | Ushetu | Uyogo

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kahama Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.