Mwalugulu
Mwalugulu ni kata ya Wilaya ya Kahama Vijijini katika Mkoa wa Shinyanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 18,054 waishio humo.[1]
Mwaka 1982 walinzi wa Sungusungu waliundwa katika mkutano kwenye eneo la kata hii.[2]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Kahama District Council
- ↑ Shindikilagi ya Sungusungu ilivyotumika kwa mauaji ‘Operesheni Tokomeza Ujangili’ Archived 22 Machi 2017 at the Wayback Machine., taarifa ya Shija Felician, kwenye gazeti la Mwananchi, 28/12/2013
![]() |
Kata za Wilaya ya Kahama Vijijini - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Bugarama | Bukomela | Bulige | Bulungwa | Bulyanhulu | Busangi | Chambo | Chela | Chona | Idahina | Igunda | Igwamanoni | Isaka | Jana | Kashishi | Kinamapula | Kisuke | Lunguya | Mapamba | Mega | Mpunze | Mwalugulu | Mwanase | Ngaya | Ntobo | Nyankende | Sabasabini | Segese | Shilela | Ubagwe | Ukune | Ulewe | Ulowa | Ushetu | Uyogo |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mwalugulu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |