Lunguya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lunguya ni kata ya Wilaya ya Kahama Vijijini katika Mkoa wa Shinyanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 19,307 waishio humo.[1]

Kata hii inapatikana na kata za Segese, Bugarama na Chela.Kabla ya uhuru Kata hii ilikuwa chini ya Mtemi Kelela. Katika karne ya 20 Kijiji hiki kilikuwa na Malenga maarufu aliyejulikana kwa jina la WANDELA. Wandela alizaliwa mnamo mwaka 1922 na kufariki tarehe 05 Novemba 2005.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Kahama Vijijini - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania

Bugarama | Bukomela | Bulige | Bulungwa | Bulyanhulu | Busangi | Chambo | Chela | Chona | Idahina | Igunda | Igwamanoni | Isaka | Jana | Kashishi | Kinamapula | Kisuke | Lunguya | Mapamba | Mega | Mpunze | Mwalugulu | Mwanase | Ngaya | Ntobo | Nyankende | Sabasabini | Segese | Shilela | Ubagwe | Ukune | Ulewe | Ulowa | Ushetu | Uyogo

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lunguya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.