Jana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jana ni kata ya Wilaya ya Kahama Vijijini katika Mkoa wa Shinyanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 16,099 waishio humo.[1] Jana ina msimbo wa posta 37328.

Kufuatana na kumbukumbu ya mzee Kishosha Sitta kundi la kwanza la Sungusungu lilitokea mwaka 1982 hapa Jana, hatua iliyofuatwa na kusinduliwa kwa harakati hii katika kata jirani ya Mwalugulu na babake Sitta Kishosha.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Kahama Vijijini - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania

Bugarama | Bukomela | Bulige | Bulungwa | Bulyanhulu | Busangi | Chambo | Chela | Chona | Idahina | Igunda | Igwamanoni | Isaka | Jana | Kashishi | Kinamapula | Kisuke | Lunguya | Mapamba | Mega | Mpunze | Mwalugulu | Mwanase | Ngaya | Ntobo | Nyankende | Sabasabini | Segese | Shilela | Ubagwe | Ukune | Ulewe | Ulowa | Ushetu | Uyogo


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.