Wilaya ya Kahama
Mandhari
Wilaya ya Kahama ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Shinyanga. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 596,456 [1].
Tangu mwaka 2012 wilaya hii ilimegwa kuwa wilaya 2 za Kahama mjini na vijijini.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/majimbo/MAJIMBOApril_Kisw.pdf
- ↑ https://www.tcra.go.tz/uploads/text-editor/files/Shinyanga%2037000_1622733004.pdf
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2022-03-26. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kahama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |