Ntobo (Kahama)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ntobo ni kata ya Wilaya ya Kahama Vijijini katika Mkoa wa Shinyanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,089 waishio humo.[1]

Ntobo ni makao makuu mapya ya Halmashauri mpya ya Msalala wilayani Kahama.

Kata hiyo ina vijiji vitano ambavyo ni: Ntobo A, Ntobo B, Bukwangu, Kalagwa, na Buganzo.

Shughuli kubwa ya kiuchumi kwa wakazi wa kata hiyo ni kilimo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Kahama Vijijini - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania

Bugarama | Bukomela | Bulige | Bulungwa | Bulyanhulu | Busangi | Chambo | Chela | Chona | Idahina | Igunda | Igwamanoni | Isaka | Jana | Kashishi | Kinamapula | Kisuke | Lunguya | Mapamba | Mega | Mpunze | Mwalugulu | Mwanase | Ngaya | Ntobo | Nyankende | Sabasabini | Segese | Shilela | Ubagwe | Ukune | Ulewe | Ulowa | Ushetu | Uyogo

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ntobo (Kahama) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.