Wilaya ya Ushetu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wilaya ya Ushetu ni wilaya ya Mkoa wa Shinyanga. Ilianzishwa tarehe 23 Novemba 2012 kwa kugawa Wilaya ya Kahama Vijijini[1].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]


Kata za Wilaya ya Ushetu - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania

Bukomela * Bulungwa * Chona * Chambo * Igunda * Idahina * Kinamapula * Igwamanoni * Kisuke * Mapamba * Mpunze * Nyamilangano * Nyankende * Sabasabini * Ubagwe * Ukune * Ulewe * Ushetu * Ulowa * Uyogo


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Ushetu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.