Sumbawanga Mjini
Mandhari
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Sumbawanga Mjini)
Sumbawanga Mjini ni wilaya mojawapo kati ya 4 za Mkoa wa Rukwa, nchini Tanzania.
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 147,483 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 303,986 [2].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Kata za Sumbawanga mjini – Mkoa wa Rukwa - Tanzania | ||
---|---|---|
Chanji | Izia | Kasense | Katandala | Kizwite | Lwiche | Mafulala | Majengo | Malangali | Matanga | Mazwi | Milanzi | Mollo | Momoka | Msua | Ntendo | Pito | Senga | Sumbawanga |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Rukwa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sumbawanga Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |