Sumbawanga Mjini

Mahali pa Sumbawanga Mjini katika mkoa wa Rukwa.
Wilaya Sumbawanga Mjini ni wilaya moja ya Mkoa wa Rukwa. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 147,483 [1].
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Rukwa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sumbawanga Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
![]() |
Kata za Sumbawanga mjini – Mkoa wa Rukwa - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Chanji | Izia | Kasense | Katandala | Kizwite | Majengo | Malangali | Matanga | Mazwi | Milanzi | Mollo | Ntendo | Old Sumbawanga | Pito | Senga |