Wilaya ya Meru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mahali pa Arumeru (kijani) katika mkoa wa Arusha.

Wilaya ya Arumeru ni wilaya moja ya Mkoa wa Arusha yenye postikodi namba 23300[1]. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Meru ilihesabiwa kuwa 268,144 [2].

Wilaya hii ilianzishwa kutoka kwa maeneo ya wilaya ya zamani Arumeru iliyogawiwa kuwa wilaya ya Arusha Vijijini na wilaya ya Meru. Makao makuu ya wilaya yako mjini Usa River.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Mpango wa Maendeleo wa Wilaya ya Meru[dead link]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Meru - Mkoa wa Arusha - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Akheri | Ambureni | Imbaseny | Kikatiti | Kikwe | King'ori | Leguruki | Majengo | Maji ya Chai | Makiba | Malula | Maroroni | Maruvango | Mbuguni | Ngabobo | Ngarenanyuki | Nkoanekoli | Nkoanrua | Nkoaranga | Nkoarisambu | Poli | Seela Sing'isi | Shambarai Burka | Songoro | Usa River


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Arusha bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Meru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.