Usa River

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kata ya Usa River
Nchi Tanzania
Mkoa Arusha
Wilaya Meru
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 23,437

Usa River ni jina la mji wa Wilaya ya Meru katika Mkoa wa Arusha, Tanzania yenye postikodi namba 23301[1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 23,437 [2] walioishi humo.

Usa River pana makao makuu ya wilaya. Mji uko takriban katikati ya jiji la Arusha na Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjarokando la barabara kuu kutoka Arusha kwenda Moshi.

Usa River inajulikana kimataifa kutokana na chuo cha theolojia cha Makumira ambacho leo kimekuwa kitengo cha Chuo Kikuu cha Tumaini cha KKKT.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Meru - Mkoa wa Arusha - Tanzania

Akheri | Ambureni | Imbaseny | Kikatiti | Kikwe | King'ori | Leguruki | Majengo | Maji ya Chai | Makiba | Malula | Maroroni | Maruvango | Mbuguni | Ngabobo | Ngarenanyuki | Nkoanekoli | Nkoanrua | Nkoaranga | Nkoarisambu | Poli | Seela Sing'isi | Shambarai Burka | Songoro | Usa River


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Arusha bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Usa River kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.